• 2026-08-11 19:14
  • Electronics
  • Dar es Salaam
  • 4 views
Reference: 175

Location: Dar es Salaam

Price: 300,000 TSh

BLACKMORE POPCORN MACHINE

BLACKMORE Popcorn Machine ni mashine ya umeme iliyotengenezwa kwa ajili ya kutengeneza popcorn/bisi kwa haraka, na inafaa sana kwa matumizi ya biashara pamoja na burudani za nyumbani. 

Sifa kuu:

Hutengeneza popcorn/bisi fresh

Inatumia umeme

Hupasha na kupika popcorn kwa haraka

Inafaa kwa biashara ya popcorn, cinema, events na sherehe

Pia inafaa kwa matumizi ya nyumbani

Muundo wake ni rahisi kutumia na kusafisha

Inafaa kwa matumizi ya mara kwa mara ya biashara

Muonekano wa kuvutia unaofaa kuwekwa kwenye sehemu ya biashara

Kwa biashara: Ni chaguo zuri kwa mtu anayepanga kuanza au kuongeza biashara ya popcorn/bisi, hasa kwenye maeneo yenye watu wengi, events, shule au sehemu za burudani.

Additional Details

Electronic Brand
Other
Model
BLACKMORE POPCORN MACHINE