- 2026-08-04 17:12
- Electronics
- Dar es Salaam
- 16 views
Location: Dar es Salaam
Price: 515,000 TSh
Aborder Fridge BCD3125 – 125 Litres
Aborder BCD3125 ni friji lenye uwezo wa lita 125, linalofaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, hostel au kwa familia ndogo. Lina muundo wa milango miwili unaowezesha kuhifadhi vyakula na vinywaji kwa mpangilio mzuri.
Sifa kuu:
Uwezo wa 125 Litres
Milango miwili (Double Door) yenye sehemu ya freezer juu
Freezer yenye uwezo wa kugandisha kwa haraka
Mechanical Temperature Control kwa kurekebisha kiwango cha ubaridi
Adjustable Thermostat
Rafu za tempered glass zinazoweza kutolewa na kusafishwa kwa urahisi
Taa ya ndani (Interior LED Light)
Mlango unaoweza kubadilishwa upande wa kufungukia (Reversible Door)
Key & Lock kwa usalama wa bidhaa
Matumizi madogo ya umeme (Energy Saving)
Hufanya kazi kwa utulivu (Low Noise)
Rangi ya Silver
Dhamana ya mwaka 1.
Inafaa kwa:
Familia ndogo
Wanafunzi wa hostel
Ofisi
Vyumba vya kupanga au biashara ndogo zinazohitaji friji lenye ukubwa wa wastani.